Tuesday, 27 August 2013

MGOMBEA UENYEKITI WA KITENGO CHA WANAWAKE (NCCR-MAGEUZI) AKABIDHIWA FOMU

Ndg. Mosena Nyambabe, Naibu Katibu Mkuu wa Chama, akimkabidhi Mhe. Agripina Buyogela fomu za kugombea Uenyekiti wa Kitengo cha Wanawake, katika uchanguzi mkuu wa Chama utakaofanyika siku chache zijazo. Anayeshuhudia (katikati) ni Ndg. Sebastian Thomas, Katibu wa Ulinzi na Usalama wa Chama - Taifa.
Tukio hili limefanyika makao makuu ya Chama, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment