Friday, 31 May 2013

TUNAENDELEA KUPATA WANACHAMA WAPYA WILAYANI SENGEREMA

Kamishna wa NCCR-Mageuzi mkoani Mwanza Ndg. Amrani akimpokea chamani aliyekuwa katibu mwenezi wa CHADEMA katani Nyampulano - Sengerema (mwenye fulana nyeupe)
Aliyekuwa Mgombea wa Udiwani katika kata ya Nyampulano, wilayani Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA akijiunga na chama cha NCCR-Mageuzi wilayani humo. Anayemkaribisha chamani kwa kumkabidhi kadi ni Ndg. Amrani (mwenye kofia), Kamishna wa chama mkoani Mwanza.
Ndg. Salvatory Magafu (katikati), akijiunga na chama cha NCCR-Mageuzi wilayani Sengerema. Anayemkabidhi kadi ni Ndg. Deogratius Kisandu, Katibu Mwenezi wa Chama -Vijana, Taifa.

No comments:

Post a Comment