Friday, 26 April 2013

NDG. DEOGRATIUS KISANDU KATIKA UHAMASISHAJI WA CHAMA, KAHAMA

Katibu Mwenezi wa Kitengo cha Vijana cha NCCR-Mageuzi, Ndg. Deogratius Mashaka Kisandu akiendelea na shughuli za uhamasishaji wa chama katika vitongoji mbalimbali wa Wilaya ya Kahama.  Kazi yake inaendelea kwa mafanikio makubwa sana.

No comments:

Post a Comment