Monday, 1 April 2013

MATEMBEZI YA AMANI NA UZALENDO WILAYANI KAHAMA

Wananchi wa wilayani Kahama wakiwa katika Matembezi ya Amani na Uzalendo yaliyofanyika wilayani huko wakati wa Sikukuu ya Pasaka, 2013. Matembezi haya yaliratibiwa na Ndg. Deogratias Kisandu, Katibu wa Uhusiano, Habari na Uenezi, NCCR-Mageuzi Kitengo cha vijana -Taifa.

No comments:

Post a Comment