Thursday, 10 January 2013

MAONI YA NCCR KUHUSU KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Ndugu James Mbatia akionesha mbele ya wanahabari kabrasha lililobeba maoni ya chama kuhusu katiba mpya, kama yalivyowasilishwa katika tume ya maoni ya katiba hiyo. kulia ni Ndugu Haji Ambar Khamis; Makamu Mwenyekiti wa chama- Zanzibar, na kushoto ni Ndugu Elizabeth Mhagama; Katibu katika idara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu.

No comments:

Post a Comment