Saturday, 1 December 2012

KATIKA KUMBUKUMBU ZETU: MAMBO YA UCHAGUZI MKUU 2010


Picha hii ilitumika katika mabango ya kampeni za ubunge za mwaka 2010. Ndg. Moses Machali (pichani) aliibuka mshindi katika uchaguzi huo jimbo la Kasulu Mjini.
Ndg. Machali ameendelea kuwatumikia wapigakura wake kwa kiwango cha hali ya juu. Amekuwa ni miongoni mwa wabunge wachache wa JMT wasiokuwa na mzaha hata kidogo katika kutetea na kulinda maslahi ya Taifa. Mbunge huyu kijana, katika chama ndiye Katibu Mwenezi.
Blog ya chama inamtakia kila jema na mafanikio makubwa katika utumishi wake.

No comments:

Post a Comment