Wednesday, 21 November 2012

ZIARA ZA CHAMA MIKOANI


Viongozi wa Kitaifa wa  NCCR- Mageuzi wanaendelea na ziara za kichama katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Kilimanjaro na Manyara.
Ziara hizo zilianza tarehe 12.11.2012 huko Simiyu. Sasa wako Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment