Wednesday, 3 October 2012

OLE-SIRIKWA KUZIKWA LEO

Leo Chama cha NCCR-Mageuzi, kinamzika muasisi wake  Ndg. Emmanuel P. Ole-Sirikwa. Kwa maelezo kuhusu kufariki na historia yake katika chama, tafadhali soma makala zetu zilizotangulia.

Na, Florian Rutayuga

No comments:

Post a Comment