Monday, 1 October 2012

KAMATI YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA SIRIKWAKamati ya kuratibu maziko ya aliyekuwa muasisi wa Chama  Ndg. Emmanuel P. Ole-Sirikwa, ikiwa katika kikao chake kilichofanyika leo asubuhi tarehe 01.10.2012, ndani ya SIRIKWA HALL. Mzee Sirikwa anatarajiwa kuzikwa tarehe 03.10.2012, katika kijiji cha Olijilah - ARUSHA.

Wanaoonekana pichani ni Ndg. Abdallah Mhando (aliyesimama), Ndg. Sebastian Thomas  (karibu na kamera), Ndg. Kombo Musa Kombo, Ndg. Honest Dominic na Dada Fadhila Adam.

Florian Rutayuga
AFISA UTAWALA - MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment