Wednesday, 5 September 2012

UFUNGAJI WA WARSHA YA TCD ILIYOSHIRIKISHA VYAMA NA ASASI

Ndg. Ambali Khamis Haji, Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi (Taifa), akifunga warsa ya vyama vya siasa na asasi za kiraia, iliyofanyika hivi karibuni nchini. Ndugu, Haji alifunga warsa hiyo kwa kofia ya Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Centre for Democracy (TCD) ambalo ni jumuiko la vyama vya siasa vyenye uwakilishi katika Bunge la Jamhuri. Kwa sasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi, TLP na UDP.

No comments:

Post a Comment