Tuesday, 14 August 2012

MALENGO YA MILLENIA 2015, DIRA YA TANZANIA 2025: JE TUTAFIKA?

kipengele
Dira ya Tanzania 2025
Malengo ya Millenia
Muda
2000 - 2025
2000 - 2015
Kiwango cha Maisha
Maisha Bora

Kufuta njaa na Ufukara
Elimu 
Jamii iliyoelimika vyema na inayoendelea kujifunza
Elimu ya Msingi kwa wote
Usawa

Usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake
Afya

Kupunguza vifo vya watoto

Kuboresha Afya ya Uzazi

Kudhibiti UKIMWI, Malaria na magonjwa mengine
Mazingira

Kuhakikisha uendelevu wa mazingira
Ushirikiano wa kimataifa

Kujenda ushirikiano wa kiulimwengu kwa ajili ya maendeleo
Utawala
Utawala bora

Amani
Amani, uimara, na umoja

Uchumi
Uchumi wa ushindani wenye uwezo wa kukua na kuwanufaisha wote

No comments:

Post a Comment