Saturday, 28 July 2012

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CHAMA

Pichani Msajili wa vyama vya Siasa, Ndg. John Tendwa (wa pili kulia mstari wa Mbele) akiwa pamoja na wanamageuzi, alipofika kukitembelea chama mnamo tarehe 23.07.2012. Wengine pichani, ni Katibu Mkuu wa Chama, Ndg. Samuel Mugisha Ruhuza, Ndg. Martin Mungong'o (Katibu wa Organaizesheni na Utawala), Mzee Solomon Lufunda (Mratibu wa Kitengo cha Wazee), Ndg. Frolian Rutayuga (Afisa Utawala, Makao Makuu). Wengine ni watendaji wa ofisi ya Msajili wa vyama, waliofika pamoja naye.

No comments:

Post a Comment