Monday, 2 July 2012

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU 30/06/2012 KATIKA PICHA

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika tarehe 30 Juni 2012, jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Mbezi Garden. Picha kwa hisani ya Kamanda wa matukio.

No comments:

Post a Comment