Tuesday, 12 June 2012

KIAPO CHA UBUNGE; NDG. MBATIA

Ndugu James Francis Mbatia akila kiapo kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika ukumbi wa Bunge hilo mjini Dodoma, mnamo tarehe 12 Juni 2012
Ndugu Mbatia akikabidhiwa zana za kazi na Mheshimiwa Spika wa Bunge Anne Makinda

No comments:

Post a Comment