Tuesday, 12 June 2012

Ndg. James Mbatia Aapishwa kuwa Mbunge

Ndugu James Francis Mbatia ameapishwa leo mjini Dodoma kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Kwa habari katika picha, tembelea; http://www.mjengwablog.com/ au http://www.hakingowi.com/

No comments:

Post a Comment