Monday, 24 February 2014

WANACHAMA WA TLP WAJISALIMISHA NCCR-MAGEUZI
Ndugu G. Pwila akipokea kadi kutoka kwa Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi, Ndg. Mosena J. Nyambabe
akishuhudiwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ndg. Mussa K. Mussa, Makao Makuu ya Chama Jijini Dar Es Salaam. Tarehe 17 Februari, 2014. Wengine waliochukua kadi ni Ndg. Wallace na Jani. Picha ya chini, wakati wakiondoka.


No comments:

Post a Comment