Sunday, 23 February 2014

NCCR-MAGEUZI YAWAKOMBO WANACHAMA WA TLP

Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi Ndg. Mosena J. Nyambabe, akimkabidhi  Kadi ya uanachama Ndugu Wallace, aliyejiondoa katika Chama cha TLP. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu (ZNZ), tarehe 17/02/2014 Makao Makuu ya Chama.

Picha ya pili ni Mama Pwila, naye alikuwa miongoni mwanachama walioyepewa kadi siku hiyo.No comments:

Post a Comment