Wednesday, 16 May 2012

Tofauti ya Export na Import nchini Tanzania, Januari hadi Desemba 2011

Takwimu hizi ni mojawapo ya vielelezo vya kwanini nchi yetu ni maskini. Yaani siku zote tofauti ya tunachouza na kununua kutoka nje siku zote iko kichwa chini miguu juu. Tunanunua sana kuliko tunavyouza.

No comments:

Post a Comment