Tuesday, 7 February 2012

Dr.Slaa na Ndg. Ruhuza katika furaha ya maelewano!
Makatibu wakuu wa vyama; NCCR-mageuzi, na CHADEMA walipotangaza muafaka kati ya vyama hivi tr.06/02/2012 jijini Dar es Salaam, ambapo kesi ya uchaguzi ya jimbo la Kawe ilifutwa. Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe.

No comments:

Post a Comment