Saturday, 28 January 2012

Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na viongozi wa NCCR-Mageuzi walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, mnamo tarehe 21 Januari 2012. Karibu na Rais ni Mweneyekiti -Taifa, Ndg. James Mbatia, akifuatiwa na Ndg. Ambar Khamis (Makamu Mwenyekiti), Ndg. George Kahangwa (Kaimu Katibu Mkuu), Mama Mariam Mwakingwe (Mweka hazina), Dk. Sengondo Mvungi (Mwanasheria wa chama), Ndg. Moses Machali (Mbunge) na Mama Zaituni Buyogela (Mbunge)

No comments:

Post a Comment