Wednesday, 21 December 2011

Katibu Mkuu Ndg.Samuel Ruhuza akisoma agenda za Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Taifa, kilichofanyika Tarehe 17 Disemba 2011. Pichani Ni Ndg. Lawrence Tara (Naibu Katibu Mkuu), Ndg. James Mbatia (Mwenyekiti), Ndg. Ambar Kamis (Makamu Mwenyekiti-Zanzibar) na Mama Rakia Abubakar (Makamu Mweneykiti -Bara)

No comments:

Post a Comment